Baadhi ya watu enye ulemavu wametaka katiba ijayo iweke upendeleo nmalumu kao kwa kupatiwa waziri moja kwa njia ya upendeleo ili wawena uwakilishi ndani ya baraza hilo la mawaziri.
wakizungmza kwene konga mano la kujadili rasimu mpya ya katiba wamesema kuwa hivi sasa katiba iliopo haikusema wala kujali watu wanye ulemavu na hivyo kukosa hakizao nyingi za msingi nadi ya nchi na hat nje ya nchi
Omar Mbarouk alisema kuwa wamekuwa wakikosa utetezi kutokana na kukosa kwao uwakilishi hivyo wameomba kama ambavyo wanawake wamejaliwa na kutengewa viti malumu kila kwenye nafasi ya uwongozi hivyo wanaitaka katiba ijao nao iwape nafasi.
No comments:
Post a Comment