Saturday, 29 June 2013

POLISI MKOA KASKAZINI PEMBA YAMNASA MUUAJI


         POLISI MKOA KASKAZINI PEMBA YAMNASA MUUAJI

Polisi n mkoa kaskazini Pemba imefanikiwa mtia mikononi muaji alie mkata kichwa kwa Panga Amur omar Ali huko finya katika wilaya Micheweni.

Kwamujibu wa tarifa ilio tolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa Ksini Pemba Mohamed Shekhani Mohamed alisema waliwashoka kama watu 20 kuhisina na tukio hilo lakini bada ya uchunguzi wa kina walifanikiwa kumpata kijana moja


alisema kuwa awali kijana huyo a;ikataa kusema lakini hatimae kwenye majira ya saa nanae za usiku alikubali na kumchukua usikuhuo hadi porini huko ambako alilifukia panga alilo mkatia kichwa marehemu na kulichukua panga hilo likiwa limetapakaa damu.

alisema pia wamefanikiwa kwa mashirikiano mazuri aliyo yatoa muaji huyo ambae nimtuhumiwa kwa sasa kuwaonyesha nguo zake alizo vaa siku ya tukio zikiwa zime tapakaa damu zipo kituoni kama kielelezo.

alifahamisha kuwa kamanda pia baada ya kukiri mbele yao walimpeleka kwa hakimu wa mkoa ambapo pia alikiri mauwaji hayo nasasa wanatarajia kumpeleka mhakamni kumfungulia kesi ya mauaji hayo kwa kukusudia .

kamda shekhamni alisema mtuhumiwa huyo nalisema kuwa amemua kumua kummaliza mwenzake huyo walie kuwa wakishoi pammoja kijijini kutokana na kuwa alikuwa akimuibia mifugo yake kama kukuna ngombe

No comments:

Post a Comment